Mkuu kufa kwa symbian kumetokana na sababu kuu mbili
1 . screen resolution
Symbian uwezo wake wa mwisho ni resolution ya 360x640 na ilikuwa haiendelezeki zaidi ikabidi nokia waipige chini
2.haikubali processor yenye core zaidi ya moja
Ukiangalia symbian simu zote zina core moja tu hii ikafanya symbian ife.
i wish if kungekua na means ya ku downld files from your head to mine???big up sana chief!najifunza vtu vng sana kutoka kwako!