iamwangdamin
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 1,418
- 2,759
- Thread starter
-
- #41
Kuna jamaa alimfuma rafiki yake anajisevia mke wake..Jamaa akawa anamuomba msamaha..Mwenye mke akachukua panga akamkata vidole vitatu vya mkono wa kulia..Kisha akamwambia nimekusamehe rafiki yangu..
True story..Wanakutoboa spika huku watu wanarekodi..Mbona utahama mkoaTrue story??? Ila bora hiyo kuliko wale wanaoandaaga watu wakutoboe spika hahaa
Anachosema mleta uzi ni kweli tutaanza na mke ni hyo basi
Binaadam hatupend ukwel na tunauchukia
Hapo kinachotokea ni matukio mengi huku muda ukiwa mchache anza kumuoka mama mkeo wache kwanza apigwe nao kwanza mke unaweza oa mwingine ila mama akiuliwa hupati mwingine