Swali Jamani ....

Hata mm namshangaa papuchi zilivyojaa mtaani mpaka zingine zinajipanga mstari ili zinunuliwe zifanye nimuache mama no Aisee..!!
Na zimeshuka thamani asee . Asante uncle Maguflexxxx , inabidi nao wakatiwe leseni mazeee .
 
Mademu no trust. Nilichapiwaga ndio nikasema sitokuja kuwaamini tena . Inauma mazee
 
Stori zingine bana.yaani mimi kabisa uyu ninavyojijua nikute mama anabakwa nipate akili yakwenda hadi nyumbani,aise mim huo muda sitaupata kwaiyo wife jamaa atajilia tu nakuondoka na ata ikitokea kweli nifika nyumbani nakukuta ayo kwa wife nitamwambia tu nikirudi nisiwakute.Pamoja nakwamba anakua ni mke wa baba ila Mama anauma sana we sema ilishatamkwa utamwacha baba na mama utaambatana na mkeo.
 
Umeona asee , wanasema kuwa nimepata wife material lazima uambatane nae mzee , papuchi nuxxxx
 
utampata wapi mama yako mwingine ujimpoteza huyo..mi ngemfata mamangu mademu wapo wa kitosha
 
utampata wapi mama yako mwingine ujimpoteza huyo..mi ngemfata mamangu mademu wapo wa kitosha
Dear Mama , swali lingine mbona hamnaga nyimbo zinazowasifiaga washua ???? Yani kila kona ya dunia watu wanawaimbia wamama na wanawake kwa ujumla , wanaume tunakosea wap?
 
Dear Mama , swali lingine mbona hamnaga nyimbo zinazowasifiaga washua ???? Yani kila kona ya dunia watu wanawaimbia wamama na wanawake kwa ujumla , wanaume tunakosea wap?
hatujakosea popote..ila hatuhitaji hizo sifa,mwanaume tayari ni independent standing unit
 
Dear Mama , swali lingine mbona hamnaga nyimbo zinazowasifiaga washua ???? Yani kila kona ya dunia watu wanawaimbia wamama na wanawake kwa ujumla , wanaume tunakosea wap?
Washua mara nyingi hawako karibu na watoto kama mama

Halafu hakuna mshua anayebeba mimba,,,, kujifungua wala kunyonyesha....haya mambo yanamfanya mama awe the most important person kwa maisha ya mtoto
 
Mama ndo yuko kwenye hatari zaidi..Hao wapuuzi nawafungia mlango kwa nje..Ntamalizana nao nikirudi..
Mm ndio maana naogopa kumiliki mguu wa Broiler , manake naweza ua nikaishia sege dance ...
 
Washua huwaga wanatungiwa Diss Track [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Washua mara nyingi hawako karibu na watoto kama mama

Halafu hakuna mshua anayebeba mimba,,,, kujifungua wala kunyonyesha....haya mambo yanamfanya mama awe the most important person kwa maisha ya mtoto
 
Mm ndio maana naogopa kumiliki mguu wa Broiler , manake naweza ua nikaishia sege dance ...
Kuua ni adhabu ndogo..Mtu anapata maumivu ya dk chache tu then anavuta..Mwache aishi ila mpe kilema cha maisha..
 
Kaboom inaonekana wewe ni mzee wa tit for tat.
Kuna jamaa alimfuma rafiki yake anajisevia mke wake..Jamaa akawa anamuomba msamaha..Mwenye mke akachukua panga akamkata vidole vitatu vya mkono wa kulia..Kisha akamwambia nimekusamehe rafiki yangu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…