silent_soldier
Senior Member
- Aug 10, 2015
- 193
- 62
Nauliza, Tume ya Uchaguzi ilisema ati Kila Chama kisitumie zaidi ya 17 Bilioni.
Je mpaka sasa hizo gharama hazijazidi?
Je mpaka sasa hizo gharama hazijazidi?
Mpaka sasa lowasa ametumia 10b kwa ajili ya kununua nafasa ya uraisi na 2bi kwa ajili ya kuwa nunua akina MBATIA,lissu ,MASHEHE,maaskofu ili wamfanyie kampeni kwa waumini wao bado tano hivi kufikia 17b

zishazidiNauliza, Tume ya Uchaguzi ilisema ati Kila Chama kisitumie zaidi ya 17 Bilioni.
Je mpaka sasa hizo gharama hazijazidi?