VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,136
- 17,871
Serikali iko kwenye harakati kali za kusaka fedha kwa njia ya kodi. Bidhaa na huduma zimewekewa au kuongezewa kodi. Ni kama kuna ombwe la kifedha mahali.
Mambo yote ya ajira za umma yamesimamishwa. Kutakuwa na jambo. Si bure. Nauliza,nani amefanya nini kusababisha ombwe la kifedha? Kuna watu 'walichota' tena? Serikali inasaka kiuhakika!
Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Dodoma)