VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,136
- 17,871
Tangu mambo ya BOT yatokee,majipu hayatumbuliwi tena. Madudu ya BOT yameachwa kinyume na kasi ya kutumbua majipu Serikalini. BOT imekuwa ikisemwa kama kichaka cha wapigaji kwa miaka sasa.
Ziara ya Rais Magufuli BOT iliwapa imani wananchi. Imani ya kutumbuliwa jipu la muda nchini. Kichaka cha vigogo na watoto wao. Halafu,BOT ikageuka mwamba kwenye bahari ya utumbuaji wa majipu. Meli ya mtumbuaji inayumba.
Ni mwisho? BOT,msimyumbishe Rais!
Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam