Linguistic JF-Expert Member Joined Mar 16, 2021 Posts 3,664 Reaction score 8,285 Jan 10, 2022 #1 Samahan Wakuu Wangu Hivi Siri za baraza la Mawaziri ambazo Mawaziri Huwa wanaapa kuzificha ni ule ushauri wanao mpa Raisi ama ni Siri Gani ? Sent using Jamii Forums mobile app
Samahan Wakuu Wangu Hivi Siri za baraza la Mawaziri ambazo Mawaziri Huwa wanaapa kuzificha ni ule ushauri wanao mpa Raisi ama ni Siri Gani ? Sent using Jamii Forums mobile app
C Chintu JF-Expert Member Joined Feb 4, 2011 Posts 5,521 Reaction score 3,584 Jan 10, 2022 #2 Alaf kiapo chao hakiko kamili mbona hawaapi "sitathubutu hata kuwaza tu kuhusu 2025" eeh Mungu unisaidie.
Alaf kiapo chao hakiko kamili mbona hawaapi "sitathubutu hata kuwaza tu kuhusu 2025" eeh Mungu unisaidie.
Rebeca 83 JF-Expert Member Joined Jun 4, 2016 Posts 15,669 Reaction score 33,691 Jan 10, 2022 #3 Chintu said: Alaf kiapo chao hakiko kamili mbona hawaapi "sitathubutu hata kuwaza tu kuhusu 2025" eeh Mungu unisaidie. Click to expand... ππππππ
Chintu said: Alaf kiapo chao hakiko kamili mbona hawaapi "sitathubutu hata kuwaza tu kuhusu 2025" eeh Mungu unisaidie. Click to expand... ππππππ
Msanii Platinum Member Joined Jul 4, 2007 Posts 26,502 Reaction score 40,185 Jan 10, 2022 #4 Josh J said: Samahan Wakuu Wangu Hivi Siri za baraza la Mawaziri ambazo Mawaziri Huwa wanaapa kuzificha ni ule ushauri wanao mpa Raisi ama ni Siri Gani ? Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Mtafute waziri yeyote mstaafu akuambie ni siri zipi
Josh J said: Samahan Wakuu Wangu Hivi Siri za baraza la Mawaziri ambazo Mawaziri Huwa wanaapa kuzificha ni ule ushauri wanao mpa Raisi ama ni Siri Gani ? Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Mtafute waziri yeyote mstaafu akuambie ni siri zipi
M MABAKULI JF-Expert Member Joined Oct 4, 2015 Posts 1,754 Reaction score 1,645 Jan 10, 2022 #5 Siri za Baraza la mawaziri kupita kwenye corridor za BUNGE na kusema:- HII NI SERIKALI YA MPITO TU.
MakinikiA JF-Expert Member Joined Jun 7, 2017 Posts 5,881 Reaction score 8,292 Jan 10, 2022 #6 Ufisadi was Mali za umma
Hismastersvoice JF-Expert Member Joined Jan 26, 2013 Posts 24,644 Reaction score 30,268 Jan 10, 2022 #7 Josh J said: Samahan Wakuu Wangu Hivi Siri za baraza la Mawaziri ambazo Mawaziri Huwa wanaapa kuzificha ni ule ushauri wanao mpa Raisi ama ni Siri Gani ? Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Sasa tukikuambia hizo siri hawatakuwa na sababu ya kuapa, tuzifiche hizo siri ili waendelee kuapa. JF of GT's.
Josh J said: Samahan Wakuu Wangu Hivi Siri za baraza la Mawaziri ambazo Mawaziri Huwa wanaapa kuzificha ni ule ushauri wanao mpa Raisi ama ni Siri Gani ? Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Sasa tukikuambia hizo siri hawatakuwa na sababu ya kuapa, tuzifiche hizo siri ili waendelee kuapa. JF of GT's.