Sote tunakumbuka namna na jinsi chama cha ACT kilivyoanzishwa. Kilitokama na mgongano kati ya makada na wajumbe wa baraza kuu la chama cha demokrasia na maendeleo baada ya waasisi wa chama (ACT) zitto kabwe, Mwigamba , kitila.mkumbo na wengine kukamatwa na walaka uliokuwa unalengo la kukihujumu chama. Mengi yalisemwa wakati huo ikiwemo madai ya kuwa watuhumiwa hao( waasisi wa ACT) kutumiwa na wapinzani wa chadema(CCM) kukiyumbisha chama.
Ilikuqa ni vigumu kuamini.kuwa Zitto kabwe na wengine walioonekana kukitumikia chama kwa jitihada na uaninifu wanaweza kujihusisha na kashfa kubwa namna ile.
Wengine walisema ACT ni ccm B kila mtu aliongea lake. Msimamo wa chama CHADEMa ilikuwa ni kuwafukuza watu wale kabla hawajaemeza sumu ya kufisha ndani ya chama, na kweli ulikuwa ni uamuzigumu na.wenye tija.
Sasa waliounda ACT wameamua kukibomoa aidha kwa kuona wamefeli ktk mision yao au wametimiza kile walichotumwa kukifanya. Lakini Chedema bado ndio kwanza kimezidi kuimarika, je mbinu hiyo iliyotumika imefeli? Au je 2019 maandalizi ya uchaguzi CCM itaanda chama kingine kuhujumu upinzani au ndio wamekubali kuachia madaraka??