Swal gumu kwa hakimu

MUREFU

JF-Expert Member
Oct 1, 2010
1,331
350
Kulikuwa na kes ya kubaka mahakaman ambayo mzee mmoja alifikishwa mahakaman kwakumbaka mwanae ilikuwa hv:-
Hakimu: m2humiwa je nikwel umekubal umemuinglia mwanao kwa nguvu?
M2humiwa: ndio hakimu ni kwel
Hakimu: je kama umekil kwanini ulifanya hvyo?
M2humiwa: ninaruhusiwa kutoa ufafanuz na kuuliza swali?
Hakimu: jieleze mana unaweza ukajitetea mh! 2ambie kwanini umefanya hvyo
M2humiwa: senkyu kwa nafas hyo hakimu ninaanza hv mfano wewe ukaanzisha biashara ile biashara ukauza ukapata faida wakat unaendelea likatokea TATZO ukirud kwny biashara utachukuwa MTAJI au FAIDA? Hakimu kimya...
 
Ntachukua vyote viwili...hahahhahhahaaa, afadhali nimepunguza stressssssssssssssssssssss
 
Back
Top Bottom