Ooho! Then i guess we should be careful when presenting our swags jamani, maana vingine ni vituko!! I wonder how a person could carry himself so "weird and horribly different" and still feel its OK! Mh..hatari!

Kwanini wewe unamchukulia jukumu la kujisikia vibaya kwa uvaaji wake?!Mpaka afike hivyo posta ina maana kwamba mwenyewe alikua anajisikia poa...na wewe mchukulie poa!!
Honestly hili neno swagga linaniboa kila ninapolisika
sijui ulimbukeni wa maneno mapya au nini...
huyo ni ccmLeo nilienda maeneo ya millenium towers, wakati naingia kuelekea crdb nikakutana na mkaka akiwa kwenye mishe zake..The way he was dressd up imenibidi niwashirikishe..
Alikuwa amesukia uzi wa pink, light green, yellow na rangi zingine sikumbuki. Ana hereni masikioni, cheni kadhaa, trouser imembanaaa "kama skinny jeans zetu kinadada", na kitop maana kilimshika mno. Nikajiuliza, is it what they call swagg? Au "fakeness" has a new name called swagg?!
umempima?simple definition..
huyo ni PUNGA aka BWABWA

Swag is just the way you carry yourself. Swag has no particular look, style, or mannerism. So to answer your question, yes, perhaps that's his swag but his swag doesn't define swag because each one of us have our own swag. You got yours, I got mine, she got hers, he got his, and they got theirs.
You got yours, I
got mine, she got hers, he got his,
and they got theirs. "DON'T WORRY ABOUT HIS"
Mkuu NN umenikumbusha wimbo wa JB (James Brown) amewahi kuimba maneno kama hayo ktk wimbo wake "sex machine"... Daaah! Senkyu sana NN.

i like your english swag

huyo ni ccm
lol! na hizo ndo swag za ccm. ichukulie poa isikupe stress. ndo ku-tolerate-iana.

You are swagga-less.