Swaga mbovu za Madada wanaojiita wasomi na Wanaonda na wakati

mimi nashangaaga! hata humo kwenye ma club mtu mpaka avae nusu utupu...
kuna haja gani ya kuvaa hivo?
kwani ukivaa highwaist yako na top kali hawatakuona?
kuvaa nusu uchi ni ulimbukeni, na kutokujiamini na kutojiheshimu!!!
wanawake tunaojiamini hatuvai nusu utupu.
Tunajiheshimu, Tunajikubali
hatuendi na wakati uchwara.

Very wise princess ariana....Nimeitamani self esteem yako! You nailed it mkuu. Wanawake wanaojiamini huwa wanavutia sana. It is sexy too. Hongera bidada kwa kujitambua, kujijali, kujithamini na kujiheshimu. Too bad hakuna provision ya kutoa likes zaidi ya moja. Aisee ningeipa post yako likes kibao
 
mimi nashangaaga! hata humo kwenye ma club mtu mpaka avae nusu utupu...
kuna haja gani ya kuvaa hivo?
kwani ukivaa highwaist yako na top kali hawatakuona?
kuvaa nusu uchi ni ulimbukeni, na kutokujiamini na kutojiheshimu!!!
wanawake tunaojiamini hatuvai nusu utupu.
Tunajiheshimu, Tunajikubali
hatuendi na wakati uchwara.
Daah,lakini sometimes inanoga bhana,yaani wanaume tunavutiwa ile mbaya,mpaka tunanunua ili kuondoa kiu.
 
Hahahahahaha lol! kucheza reggae kwenye blues Dah! Hata sijui unachezaji hii :):):)

NDO MNAVOSEMA!!!!
I Dont need to dress half naked to get man's attention...
mimi najiamini mwanammke mkali hata nikienda club na dera watageuka!!

mwanamke kujiamini... sio wanajitutumua kama wanataka kucheza reggae kwenye blues!!!!
 
Basi mrembo bhana,punguza hasira,ya nini kutokwa povu bure bure mamii,waache wajianike bhana au vipi?,kwanza night club panakuwaga joto sana.
 
Back
Top Bottom