Suzuki vitara 5 doors inauzwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Suzuki vitara 5 doors inauzwa

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Kiumbe duni, Jan 25, 2012.

 1. K

  Kiumbe duni Senior Member

  #1
  Jan 25, 2012
  Joined: Dec 3, 2011
  Messages: 100
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Suzuki vitara milango 5 manual, rangi nyeusi metaliki na ipo kwenye hali nzuri inatembea. inauzwa bei poa Tsh 7800,000/: ipo maeneo ya kawe dsm. kwa maelezo zaidi piga 0713664326
   
 2. Kitope

  Kitope JF-Expert Member

  #2
  Jan 25, 2012
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 228
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  mwaka gani? imetembea km ngapi? ungeweka angalau kapicha ili wenye kukurupuka wasije kuingia kingi bila kufalishwa kofia
   
 3. E

  Esther Kimario Member

  #3
  Feb 9, 2012
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 63
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Gari bado ipo tufanye biashara?
   
 4. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #4
  Feb 9, 2012
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 0
  CRV unaiogopa kama ukoma? kamata kitu vitara mama, iwe katika hali nzuri lakn-usinunue tu mradi vitara, utalia!
   
 5. E

  Esther Kimario Member

  #5
  Feb 9, 2012
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 63
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndio uzuri wa JF! baada ya kupewa somo nikatoroka moja kwa moja! ha ha ha!
   
 6. K

  Kiumbe duni Senior Member

  #6
  Feb 9, 2012
  Joined: Dec 3, 2011
  Messages: 100
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Bado ipo wewe nitafute kwenye hiyo namba uje kuiona hata kama una mtaalam wako wa kuikagua njoo nae.
   
Loading...