Kurunzi Platinum Member Joined Jul 31, 2009 Posts 10,198 Reaction score 11,632 Aug 6, 2014 #1 Suzuki vitara inauzwa bei yake 4.5m kwa mawasiliano pm Attachments 20140711-0002.jpg 287.8 KB · Views: 368 20140711-0004.jpg 277.5 KB · Views: 306 20140711-0005.jpg 249.6 KB · Views: 268 20140711-0006.jpg 283 KB · Views: 262
Tiba JF-Expert Member Joined Jul 15, 2008 Posts 4,607 Reaction score 3,191 Aug 6, 2014 #2 Hebu badilisha hiyo heading. Hiyo Suzuki Virata ndio kitu gani ndugu. Umepost kwa haraka? Tiba
mob JF-Expert Member Joined Dec 4, 2009 Posts 2,261 Reaction score 1,360 Aug 6, 2014 #3 mkuu hili gari kama uko dar nenda kalipaki mitaa ya kimara hutachukua muda litakuwa limeshapata mteja maana wachaga wanayapenda kweli
mkuu hili gari kama uko dar nenda kalipaki mitaa ya kimara hutachukua muda litakuwa limeshapata mteja maana wachaga wanayapenda kweli
Kurunzi Platinum Member Joined Jul 31, 2009 Posts 10,198 Reaction score 11,632 Aug 6, 2014 Thread starter #4 mob said: mkuu hili gari kama uko dar nenda kalipaki mitaa ya kimara hutachukua muda litakuwa limeshapata mteja maana wachaga wanayapenda kweli Click to expand... iko bagamoyo
mob said: mkuu hili gari kama uko dar nenda kalipaki mitaa ya kimara hutachukua muda litakuwa limeshapata mteja maana wachaga wanayapenda kweli Click to expand... iko bagamoyo
GOOGLE JF-Expert Member Joined Oct 29, 2012 Posts 1,889 Reaction score 1,127 Aug 6, 2014 #5 Huu ugonjwa!
Nduka JF-Expert Member Joined Dec 3, 2008 Posts 8,552 Reaction score 2,388 Aug 6, 2014 #6 mob said: mkuu hili gari kama uko dar nenda kalipaki mitaa ya kimara hutachukua muda litakuwa limeshapata mteja maana wachaga wanayapenda kweli Click to expand... Wachaga na vitu vya bei rahisi utawaua.
mob said: mkuu hili gari kama uko dar nenda kalipaki mitaa ya kimara hutachukua muda litakuwa limeshapata mteja maana wachaga wanayapenda kweli Click to expand... Wachaga na vitu vya bei rahisi utawaua.
mob JF-Expert Member Joined Dec 4, 2009 Posts 2,261 Reaction score 1,360 Aug 7, 2014 #7 Nduka said: Wachaga na vitu vya bei rahisi utawaua. Click to expand... mkuu sio bei rahisi hizi gari zinadumu sana wewe nenda barabara ya morogoro jioni au asubuhi then angalia watu wanaoendesha hayo magari asilimia kubwa ni mangi.
Nduka said: Wachaga na vitu vya bei rahisi utawaua. Click to expand... mkuu sio bei rahisi hizi gari zinadumu sana wewe nenda barabara ya morogoro jioni au asubuhi then angalia watu wanaoendesha hayo magari asilimia kubwa ni mangi.
Mad Max JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 35,725 Reaction score 104,927 Aug 7, 2014 #8 kumbe vitara
Idimi Platinum Member Joined Mar 18, 2007 Posts 15,670 Reaction score 11,771 Aug 7, 2014 #9 GOOGLE said: Huu ugonjwa! Click to expand... Suzuki ugonjwa? Huzijui hizi gari wewe! Gari ngumu sana hizo na spea zake zipo kibao tu.
GOOGLE said: Huu ugonjwa! Click to expand... Suzuki ugonjwa? Huzijui hizi gari wewe! Gari ngumu sana hizo na spea zake zipo kibao tu.