Suzuki swift inauzwa

Suzuki swift inauzwa

SI unit

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
1,953
Reaction score
767
Km 68,000 ipo safi. Bei mil. 7.5 negotiable. Mwenye kuhitaji aniPM..
 
.
Kama unahitaji waweza kuja kuliona live, haina longolongo..
sasa mtu aje kuliona wapi?
kwani kila mtu yupo hapo/huko uliko.
watu tunahitaji kweli haya magari ila we unaeuza pia tufanye sisi tunaonunua tuwe na uhakika.
 
sasa mtu aje kuliona wapi?
kwani kila mtu yupo hapo/huko uliko.
watu tunahitaji kweli haya magari ila we unaeuza pia tufanye sisi tunaonunua tuwe na uhakika.
.
Samahani natumia mobile ndo maana siwezi fanya attachment, kama ni mkazi wa Dar, gari lipo Kimara Temboni.
 
acha biashara za kisengere nyuma ndugu yangu tafuta computer weka picha hapo
yaani unataka nitoke bagamoyo kwa daladala hadi temboni kuja kuona gari
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom