Suzuki swift 1.3

Suzuki swift 1.3

Balungi

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2011
Posts
234
Reaction score
162
Wadau nina milioni tano cash, vp naweza kupata suzuki swift ili nami niweze kupiga misele???
 
Mbona kichwa hakiendani na kiwiliwili? anyaway wasubiri waje wenye
 
Wadau nina milioni tano cash, vp naweza kupata suzuki swift ili nami niweze kupiga misele???

ha ha kumbe mwatupneaga wivu sisi wapiga. misele eeeh?

ongeza ongeza bana suzuki siunajua ni jembe sana mzee??
 
MMMMMH,USIWE NA HARAKA ,, UTAPATA KAMA NI KUMVUA M2,ILA CHEKI KWENYE HII cheki.co.tz wanauza magari yaliyotumika dar na japan, ,,vp unahitaji suzuki swift tuuu,,. kuna pajero2 au min pajero.naona ni nzuri na zko juu according to our road.
 
Pajero nimeambiwa ziko sensitive sana kwenye mafuta, yakiwa na kasoro kidogo tu zinaleta mic
 
Unapata mkuu vuta subira katika kuipata gari nzuri tuu. Magari ni kama simu za mkononi siku hizi tofauti na enzi za 90,80..2000-2005!!
 
Ongeza hela uchukue moja hapo zote ni Suzuki
 
Attachments

  • 1422821365766.jpg
    1422821365766.jpg
    25.3 KB · Views: 165
Hilo tuuu au? Kama ni hilo tuu mi naona si tatizo we jaribu kuyatazama,hv vko chini na road ze2,shida... Hizi min pajero ni cc660 na hizi 2 kama sijakosea sana ni cc980 to 1300cc. Matunzo tuu.
 
Hilo tuuu au? Kama ni hilo tuu mi naona si tatizo we jaribu kuyatazama,hv vko chini na road ze2,shida... Hizi min pajero ni cc660 na hizi 2 kama sijakosea sana ni cc980 to 1300cc. Matunzo tuu.

Ahsante kwa ushauri
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom