Wakuu heshima iwe kwenu natafuta kagari hako tajwa hapo juu huenda kakawa kametelekezwa kutokana na model yake kenye bei rafiki kabisa kama kanavyoonekana hapo pichani
Wakuu heshima iwe kwenu natafuta kagari hako tajwa hapo juu huenda kakawa kametelekezwa kutokana na model yake kenye bei rafiki kabisa kama kanavyoonekana hapo pichaniView attachment 941976