Habari za leo?
Kwa wenye ufahamu wa kodi hapo bandarini DAR.
Nataka kuagiza gari Suzuki Jimmy ya mwaka 2009,naomba kujua kodi na gharama nyingine za kulipa hapo bandarini na pia kampuni ya kusafarisha mzigo toka Japan?
Nitashukuru kwa majibu yenu.
Asanteni sana.