ben van mike
JF-Expert Member
- Aug 27, 2010
- 467
- 190
Mkuu si kwamba limeanza kukusumbua? Nijuavyo siku hivi Dar es salaam....watu wengi wanaangalia economic car..........
Suzuki grand vitara for sale , 2500 cc , manual ,cd player, has done 94000 miles , gari ni ya mwaka 1999 ,ilikuwa imported toka UK last year ( july ) so imetumika miezi 10 tu hapa Tanzania , very clean vehicle , imelipiwa ushuru wote ,gari lipo DAR ,picha zipo kwenye attachment
bei :13.5 million maelewano yapo au mwenye gari ndogo we can part exchange , reason for sale : natafuta gari ndogo
kuliona please call me kwenye hii namba 0754279959 au ni PM SHUKRANI
Si uanzishe topic yako!!mi nna cresta gx100,vvti,
white, 130000km,
kamavp nikuchek