Chakulagani
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 271
- 51
Wakuu naendelea kusisitiza msaada wa kupata gari hiyo tafadhali,ieleweke kuwa ni jambo serious wengi wanyo Esxudo za 1995/1996 0f which is not my choice any more.pls mwenye nalo.

Acha kulalama agiza kutoka nje utapata choice uitakayo!
Ongeza 2 upate gari nzuri ya maana, achakukariri namba b.