Suzuki carry

Suzuki carry

minuz

JF-Expert Member
Joined
May 8, 2014
Posts
624
Reaction score
216
Natafuta suzuki carry ,iwe automatic 4wd, na iwe na ac na iwe kwenye good condition ,bei sio issue zingatia specification ahsante
 
Sasa nitatuma picha ngapi,maana zipo nyingi
Mie sie mwenye gari,ila napita yard nazikuta,maana mie situmii automatic,huwa nanunua manual kwa ajili ya gari ya biashara.
Sasa ndio maana nakuambia kwamba Automatic zipo kibao huku.
Tafuta nauli uje nitakupa mtu atakutembeza uchague unazotaka.Ila ujue kuileta mpaka Dar kama sikosei inakaribia milioni moja na upuuzi hivi karibia ya mbili
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom