Ilisolokobwe JF-Expert Member Joined Jul 29, 2013 Posts 1,865 Reaction score 833 May 15, 2014 #1 Nahitaji gari hili liwe katika hali nzuri si kimeo. Offer yangu ni m4 Attachments 1400140213202.jpg 27.4 KB · Views: 203
Usedcountrynewpipo JF-Expert Member Joined Aug 1, 2012 Posts 3,636 Reaction score 2,734 May 16, 2014 #2 M4 kanunue bajaj...
M Mzalendo_Mkweli JF-Expert Member Joined Jan 30, 2012 Posts 2,069 Reaction score 1,332 May 16, 2014 #3 Kwanini usiagize wewe mwenyewe? Japanese used cars. | tradecarview.com Ahsante.
mrangi JF-Expert Member Joined Feb 19, 2014 Posts 96,505 Reaction score 138,384 May 16, 2014 #4 huwezi kupata hiyo gari kwa hyo bei....lbda umkute mtu una shida
Justin Dimee JF-Expert Member Joined Apr 17, 2012 Posts 1,145 Reaction score 250 May 16, 2014 #5 Zina Ingiza Hela Izo Mpaka Zina Geuka Dala Dala Usiku Sehemu Nyingne?
HP1 JF-Expert Member Joined Feb 4, 2012 Posts 3,362 Reaction score 878 May 19, 2014 #6 Kwa bei hiyo utasubiri sana. Hizo gari zinacheza kwenye Mil. 7
joss1973 JF-Expert Member Joined Mar 18, 2010 Posts 405 Reaction score 103 May 24, 2014 #7 Ongeza hela mkuu kwa hela hiyo utauziwa criper .ipo zuri namba c.ni pm nikuuzie mkuu
zegebovu1 JF-Expert Member Joined Nov 20, 2013 Posts 415 Reaction score 135 May 24, 2014 #8 Leta mil8 nikuachie yangu mpya