yantuzu Senior Member Joined Dec 10, 2011 Posts 115 Reaction score 16 Dec 15, 2013 #1 Habari wana JF. Nahitaji Suzuki Carry yeyote kwa wale wanashughulika na uagizaji wa magari (wenye yards) iwe imetengenezwa kati ya 2000 - 2005, na imetembea km 30,000 - km 70,000. Kam unayo tafadhali naomba tuwasiliane, bei tutazungumza.
Habari wana JF. Nahitaji Suzuki Carry yeyote kwa wale wanashughulika na uagizaji wa magari (wenye yards) iwe imetengenezwa kati ya 2000 - 2005, na imetembea km 30,000 - km 70,000. Kam unayo tafadhali naomba tuwasiliane, bei tutazungumza.