Suzi bartazary arudishwe Week-end Bonanza ya Clouds Fm

mtangazaji wa kipindi cha jumamosi saa 10 weekend bonanza clouds fm angerudishwa kwani mda mwingi unatumiwa kupiga nyimbo kuliko kutangaza mda mwingine mtangazaji atangazi anapiga beat tu....
pia suzy bartazary anasauti ya mvuto hasa kwa kipindi anachokifanya pia wasikilizaji tunampenda kwakuwa clouds ni radio ya watu natumaini mtatusikia wasikilizaji wenu.....
Utendaji kazi mwema
Hapa sio clouds
 
Mtangazaji wa kipindi cha jumamosi saa 11 weekend bonanza Clouds FM angerudishwa kwani mda mwingi unatumiwa kupiga nyimbo kuliko kutangaza mda mwingine mtangazaji atangazi anapiga beat tu.

Pia Suzy Bartazary anasauti ya mvuto hasa kwa kipindi anachokifanya pia wasikilizaji tunampenda kwakuwa clouds ni radio ya watu natumaini mtatusikia wasikilizaji wenu.

Utendaji kazi mwema.

Kwa hiyo unataka tufanyaje?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom