Surveyed plot inauzwa-Dodoma

Chiwaso

JF-Expert Member
Oct 21, 2009
5,726
3,762
Habari wana JF,
Kuna kiwanja kilichopimwa na kina OFA kinauzwa, Kina ukubwa wa 592sqm, Kipo maeneo ya Chidachi West, mbele kidogo ya St John University(Kikuyu). Maeneo yameshaendelezwa na yana huduma zote muhimu za kijamii. Bei ni 5,500,000/=. Call 0755018686 for details
 
Last edited:
Bei siyo mbaya,changamkieni asset hiyo maana ardhi ni hazina
 
Back
Top Bottom