Mrs Bishanga
JF-Expert Member
- Jun 30, 2013
- 1,002
- 2,286
kama unaweza book hoteli yoyote afu ndani kwenye chumba fanya decoration muandalie vitu unavyopenda and be romantic wanaume huwa tunapenda sana as u know ss wanaume sio materialistic
Jitahidi kujua ni nini anapenda na muhimu kwa wakati huu , pia fanya kuligana na budget yako.
^^
MMU tumevamiwa
^^
ningekuambia desa langu bahati mbaya mpenzi wangu yupo huku na miminataka nimfanyie suprise wkend hii ila nakuja pm
lakini hongera miaka 6 si mchezo wengine 24 hrs tushapigana vibuti
Hello sweeties, I am here again. How is your life out there? To me, so far so good.
We are in our 6th year of matrimonial life. I'm thinking of doing something I don't know yet to surprise my husband. Can you please help me to decide on what I can do to him as the best surprise?
I love him so much.
You are welcome to share with me whatever you think is appropriate for this.
Bishanga mambo hayooooo wapi Zahra White wera weraaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
mie kimya
Mrs Bishanga bwana wako wewe kumjua wamjua wewe anavyopenda na asivyozipenda kipato chako hatukijui tukukuambie umnunulie gunia la mkaa kumbe uwezo kisado cha mkaa cha buku 2
mtuwachageeeeee bana
ningekuambia desa langu bahati mbaya mpenzi wangu yupo huku na miminataka nimfanyie suprise wkend hii ila nakuja pm
lakini hongera miaka 6 si mchezo wengine 24 hrs tushapigana vibuti