Hahhaha...eti kavimbisha mdomo kama katiwa amira...well ndo maana ni muhimu kujua yeye analichukuliaje hilo swala.TULIZO....uloyosema ni kweli...inapendeza tu pale inapofanyika kwa nia nzuri na wote wakafurahia.kwakweli ni afadhali umjulishe kua natarajia kuja wakati wowote manake duh unamkuta mtu kavimbisha mdomo kama alotiwa Hamira,baada ya kufurahi,au unamkuta hayupo....
Afrodenzi unapenda zawadi!!!akija mikono mitupu simpokei..
Loh....kazi mbona anayo bibi wa watu.Na kweli asijaribu asije akafa kwa presha siku sio zake!Nasema hivii:Kama bibi yenu anapenda awe surprised basi anifanyie surprise visit..........Surprise Visits ni ugonjwa wa wivu uliopitiliza. Yaani ni kama ukichaa flani hivi.