Hata wewe ulivyoniuliza "ningekuwa mie ningefanyaje?" bado kwangu inakuwa surprise ..... Suprises ontop of another.
Unatakiwa utuambie ulifanyaje...kama jioni hiyo hukumgegeda huyo kikongwe
Kama umemuita dada wa mjini haiyumkini hiyo honey aliisema kimjinimjini....u took things too serious bro!!!
ikimbie dhambisurprise nyingine noma …. Ona hii….
Nimekuwa nikimchukulia kama rafiki yangu kwa mda mrefu, siku moja kaniambia tukutane sehemu fulani ana maongezi nami. Kwa kuwa ni mtu namfahamu na tunaheshimiana nikakubali kwenda, kufika pale nakaribishwa na mtu – ananiuliza mi ni mgeni wa nani, bila kusita nikamweleza kuwa mi sio mgeni wa mtu yeyote – niko mwenyewe. Huyo mkaribishaji ndo akanambia kuwa kwa jioni ile wanaingia watu maalum. Wakati naondoka pale hotelini, nikapigiwa sm na kuulizwa nimefika wapi, nikamweleza kuwa nimezuiliwa mlangoni,
akanambia nirudi nitamkuta yeye mlangoni,
kuingia ndani nakutana na watu wengi vijana na wamama wengi tu ambao kwa sura nawafahamu. Yule mama akasimama na kunitambulisha kuwa mimi ndo honey wake mpya. Kwa kweli ilinikera sana! Ukizingatia mi ni mume wa mtu, yeye mke wa mtu, sijawahi kumgegeda, sijawahi hata kumtongoza, surprise ya hivyo ni hatari sana, angekuwa wewe ungefanyaje?
Biblia inasema katika kitabu cha mithali tazama kijana mmoja -------- aliyekuwa akipita njia ya makutano akakutana na mwanamke mwerevu wa moyo amevaa mavazi ya kimisri ya kikahaba akamwambia twende kwaku tukafaidi upendo(sex) nimetandika kitanda changu kwa mandandiko ya misri kikiwa na manukato safi na akamwambia tena angalia mme wangu amechukua mfuko wa fedha harudi leo wala kesho hvyo tukafaidi upendo the bible continue saying, angalia hanguko lake yule kijana litakavyokuwa kubwa na yule mwanamke ni njia ya kwenda kuzimu! Na biblia pia inasema ikimbieni zinaa! na hili tunaliona kwa Yusufu alipotakwa na mke wa bosi wake (Potifa) alichofanya alikimbia. Alway if real you want to survive for adultery the solution is to run away! maana ukisema mara ooh mara inakuwa vile huku nhuo moja ikitolewa unajikuta umeliwa au umefanya. Ni changamoto kubwa kwa kila mtu ila uamzi unabakia kwa mtu binafsi. huo ndo mchango wangu mkuu.