kibhopile JF-Expert Member Joined Aug 5, 2010 Posts 1,514 Reaction score 767 Jan 8, 2013 #21 Ha ha ha, arachuga wanaangalia la kuchumpa na kupalama,,,
PakaJimmy JF-Expert Member Joined Apr 29, 2009 Posts 16,202 Reaction score 8,787 Jan 8, 2013 #22 Kiranga said: Kwa hiyo watu wa Arusha hawaendi Dodoma hata siku moja? Click to expand... Au, Ina maana watu wanaokwenda Arusha ni wenyeji pyua wa mkoa wa Arusha? Hakuna wanaofanya biashara, wafanyakazi, watembeleaji-casual, au hata transits wa kwenda nchi za jirani?
Kiranga said: Kwa hiyo watu wa Arusha hawaendi Dodoma hata siku moja? Click to expand... Au, Ina maana watu wanaokwenda Arusha ni wenyeji pyua wa mkoa wa Arusha? Hakuna wanaofanya biashara, wafanyakazi, watembeleaji-casual, au hata transits wa kwenda nchi za jirani?