hi jf, nko na rafk yngu wa karibu chuo tumemaliza mwaka jana, kinachomsumbua huyu rafk yngu ni kwamba ana girlfrnd wake(mschna yuko chuo 2nd yr) huyo mschana anampnda mshikkaj kupitiliza, she buys alot of thngs 4 him, coz home kwao mambo xafi bt mshikaj anasema ana sura mbaya atamtambulishaje kwa wazazi na rafk zake, mshkaj anataka kudate na mschana mwngne mrembo bt 4m4 failure na huyo mschana hana future navomwona, jamaa ananiomba ushauri eti aende kwa yule mwenye sura nzuri au kwa yule wa chuo,
Naomba tusaidiane kumpa ushauri( he is in dilema).
Naomba tusaidiane kumpa ushauri( he is in dilema).