Sura kama avatar ya Nitonye

Ta Muganyizi

R I P
Joined
Oct 19, 2010
Posts
5,355
Reaction score
2,739

Kama umeifungua hii thread utazaa mtoto mwenye sura kama huyu jamaa sijui ni Soldier?

ta muganyizi ta muganyizi unataka nini hivi huoni hii sura ni adimu naomba naomba unitake radhi
 
Jamani mbona mnamuonea? hivi kama yake inachekesha ya Nduu/Mamaya mtaionaje? lol hapa ni profile picture, na avatar.
 
Ole wake yeye akikosoaye kiumbe ambacho Mungu alikiumba kwa mikono yake!
Ole Ole ><100.
Imeandikwa.
 
Ole wake yeye akikosoaye kiumbe ambacho Mungu alikiumba kwa mikono yake!
Ole Ole ><100.
Imeandikwa.

wewe nawe sijui unakunywa tingisha au mbege. Wapi nimekosoa hivi mtu akisema utaa mtoto anyefanana na pindaa au Wassira anakuwa kamkosoa kiumbe? Kwa taarifa yako naitamani sura ya Avator ya Nitonye.........dont force me to eat that water
 
Jamani mbona mnamuonea? hivi kama yake inachekesha ya Nduu/Mamaya mtaionaje? lol hapa ni profile picture, na avatar.
halafu hapo kafanya mautundu ya kuipendezesha kwa photoshop,sijui picha original ilikwaje
 
wewe nawe sijui unakunywa tingisha au mbege. Wapi nimekosoa hivi mtu akisema utaa mtoto anyefanana na pindaa au Wassira anakuwa kamkosoa kiumbe? Kwa taarifa yako naitamani sura ya Avator ya Nitonye.........dont force me to eat that water

Nimeshaisoma, nahamia kwingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…