supu ya pweza si lolote , pata kitu inaitwa bunga toka congo acha kabisa yaani ukiingia kunako mechi ni mnazi mnazi mwanzo mwisho bila madhara wala maumivu na kwa ile style ya kufikia orgasm ndiyo yenyewe ni PM tu
wewe nini maoni yako katika hilo? je usha jaribu ukaona? au unataka ujue ndo ukajaribu? Ntakujibu baadae kidogo ngoja nimalizie hii supu ya pweza isije powa.
yaaah ni unga fulani hivi ambao unatengenezwa kwa miti shamba sasa wakongo wanaita bunga , kwa mujibu wa lafudhi yao ukiwa nayo ujazo wa kifuniko cha soda ni nyingi sana mwaka mzima unatumia, ila hizi zingine naona kama uzushi tu na zina madhara makubwa yaani usipokuwa nayo na charge nayo kwishney ila hii ni kama tibaBunga toka congo
ungesema tendo la ndoa, ningejaribu kukuelimisha lakini umezungumzia ngono kwa maana uzinzi....sitaweza!
Habari zenu wanajamii? Kwa wale wenye kujua juu ya hiyo supu ya pweza ambayo ni maarufu sana mikoa ya pwani hasa Dsm.Inasemekana inaongeza ari na nguvu wakati wa tendo la ngono, je kuna ukweli wowote na kwanini basi pweza wasiwe suluhisho la tatizo la nguvu za kiume?
<br />By CABANA<br />

<br />
ni kweli, ukiijumlishia na nyagi siku hiyo utakuwa CNN....
Hiyo bunga toka congo inapatikana wapi hapa bongo, au ni chakula gani hicho?