bothlegs Senior Member Joined Apr 14, 2009 Posts 123 Reaction score 49 Dec 7, 2012 #1 Unaingia Hotelini au Mkahawani na unaagiza supu ya nyama ya ng'ombe.Ukiwa umekaa huku ukisubiri hiyo supu mara anakuja muhudumu na kuuliza nani ng'ombe?Utasemaje?
Unaingia Hotelini au Mkahawani na unaagiza supu ya nyama ya ng'ombe.Ukiwa umekaa huku ukisubiri hiyo supu mara anakuja muhudumu na kuuliza nani ng'ombe?Utasemaje?
Fekifeki JF-Expert Member Joined Nov 18, 2011 Posts 1,519 Reaction score 652 Dec 12, 2012 #3 Maneno mengine yanakuwa na maana kulingana na mazingira! Jibu hapo ni MIMI, Haina ubishi.
B Bill le Roux Member Joined Dec 12, 2012 Posts 8 Reaction score 1 Dec 12, 2012 #4 duh! itakuwa mimi 2 coz ndio kaz ya rejesta hiyo..