Cant connect the suprise na dume kondom and everything there after...
Anyway your thread imekuwa supriiiiise kwangu! Thanks
Hapo hapo ungeivaa na kuanza mambo
nimekutana na suprise ya thread yako....
Ngoja nipumzike kidogo ntarud
We kweli bomb alshabab. .unatafutwa na polisi kwanza
ama kweli mpenzi wko ni kicheche,kukuonesha sample ya mabox yaliyoko ndani kwake ready 4 match. yaani hata ukienda kumpa gwala gafla mkirukiana utaskia "wait nakuja,akirudi ana pakti 2"
kazitoa wapi kamaco store kwake.
nimeipenda hyo suprz bra ungvaa nawe umrudishie shprz ake.