Support Tafadhali

Mwanambee

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2015
Posts
259
Reaction score
371
Laptop yangu Hp envy haisomi hdd nilipoicheki nimegundua kuwa pale port ya hdd inapoungwa na motherboard kuna jino moja limekatika kama kuna fundi hasa wa hardware au yeyote anaefahamu wap naweza pata ufumbuzi naomba support yenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…