Support Burundians to stand up to a government that killing its own

mchambawima1

JF-Expert Member
Oct 16, 2014
2,487
738
By: BELA

1450989381burundi_election_violence_hp.jpg
Riot police chase a demonstrator in Bujumbura in May this year as protesters opposed President Pierre Nkurunziza's decision to seek re-election. (Net photo)

Editor,

RE: ?Burundi rebels announce force to oust president? (The New Times, December 23). ?When injustice becomes law, resistance become a duty?, as one once put it.
The free world should strongly support Burundi?s freedom fighters who decided to stand up against murder by government, police, and its associated militia. Burundi?s civil population deserves more attention from the civilized world.
After Nkurunziza decided to indiscriminately kill Burundi?s children starting with the 12-year Komezamahoro who was shot dead while on his knees pleading for mercy for a sin he never committed, and the arrogant reply to the AU?s PSC decision to send peacekeepers to help protect Burundi?s civilian population against an undisciplined police, the military and militia comprising his own Imbonerakure as well as the remnant genocidal Interahamwe (blamed for the 1994 Genocide against the Tutsi in Rwanda), it was about time that Burundi?s civil population organise itself in a resistance movement to resist the illegally established government that disrupts civil order and stability.
Civil resistance and nonviolent resistance that started in April to protest against the violation of the Constitution and the Arusha Peace Accord that ended more than ten years of civil war showed limits and ended up giving Nkurunziza time to organise more repression targeting the youth.
As part of the government?s effort to intimidate and instill fear in people so as to force them to accept brutality and murder by police and its militia, many brave resisters have been recently killed in their own houses, others are tortured in prisons without the hope of a fair trial one day.
Today, time has come for freedom fighters to use the same force and means that Nkurunziza has been using because there is an urgent need to prevent further killings that may end up in genocide if we have to go by recent history in the region.
Burundi rebels are the moral equivalent of those who ended apartheid in South Africa and those who halted the Genocide against the Tutsi in Rwanda. They deserve the same international support bestowed to the former rather than the indifference shown towards the latter.
Bel
a

Majority of African leaders are level headed indeed - unlike a few unguided missiles C.O.W gang - A.U shouldn't entertain a gang hell bent to foment political unrest in Bujumbura 4 their own political gain namely "wanting 2 install a DUMMY leader therein!!"

Resorting to media 4 disinforming Public/International Community is but one of their cowboy tacticts 2 fulfil/attain their hidden agenda in Burundi - take this article brought herein by Mchambawima1 it reveals what 'ave been talking about - everything said in the above mentioned article is purely fictitious like Cinderella/Alice in a wonderland also grossly exaggerated emulating 2 the letter Hitler's propaganda Minister one Dk.J.Geobbels - personally I believe there is no need 4 A.U military intervation in Burundi, period.

Warundi wana akili timamu za kumaliza tofauti zao ambazo kusema ukweli ni za kuchongwa tu kutoka nje ya nchi yao, ndio maana anakutana na watu humu wanamsema vibaya Nkuruzinza calling him names, wamekasirika kabisa kuliko Warundi wenyewe - swali ni kuna nini hapa au mlikuwa na ajenda gani ambayo mnaona imeingia luba?
 
lol... I thyou have got to admire the Rwandese people! we are not afraid of speaking the truth even if will put in a straight jacket... by the way the article is an opinion of a TNT columnist not the position of the Gov of Rwanda... I would appreciate if you can pin point the irrelevance of this article instead of usual blabla... personally, I admire his courage to speak the truth jMali vyuma
 
Last edited by a moderator:
Mbona hapa Tz tunaua wezi kila siku lakini sijawahi sikia wanyarwanda wakisemaSema kwa nguvu namna hii
 
Mbona hudai Kagame ang'olewe, wakati anauwa Wanyarwanda walioko hata nje ya Rwanda?. akina Patrick Karegeya na sasa hivi anamuwinda Kayumba Nyamwasa.

Nkurunzinza is there to stay baby, whether you like it or not!.

Conspiracy ya Mfalme Kagame na Mfalme Museveni kuendekeza mifumo ya Ukabila katika kutawala haikubaliki.

Tanzania tuko nyuma ya Nkurunzinza, huyu ni rafiki yetu wa kweli, alikuwa upande wetu wakati Rwanda, Kenya na Uganda wakitutenga sisi kupitia CoW. Tutamsapoti Nkurunzinza kwa sababu amechaguliwa kidemokrasia na warundi wengi

Na tutamsapoti kwa sababu tunajua wale wahuni wanaoua watu katika mitaa ya bujumbura mfadhili wao yupo Kigali.

Njia za Kicowboy za kuudanganya ulimwengu kupiia propaganda ili kupata sympathy ya kisiasa umekwisha
Ukweli ni lazima ushinde.

Na ukweli wenyewe ni kwamba Burundi kuna magaidi wanaofadhiliwa na serikali ya Kigali ili kusimika uongozi kwa misingi ya Kikabila, hili jambo halikubaliki
 
Unajua sometimes arguments zenu mtu anapitia halafu anaona haina haja ya kujibizana na nyie.

Kwanza Kagame hana muda na hao unaowasema sijui akina Nyamwasa. Hao anawaita garasha sijui kama unaelewa.

Pili, hii theory yenu ya kila siku sijui Hima empire, is of uneducated people who cannot discern and do any analysis...nilidhani hiyo theory iliondoka na marehemu Mtikila but i was wrong...bado kuna disciples wake humu lakini haina mshiko kabisa...tafuteni angle nyingine ya kuingilia manake hiyo ni zilizopendwa.

Tatu, suala la burundi has become crimes against humanity issue. Utake usitake, jumuia ya kimataifa imeshaliona hilo and pesonally naona wamechelewa kuchukua hatua. Raia wa burundi wanakufa kila siku huku jumuia ikiwa imekaa kimya. Hili halikubaliki hata kidogo. AU inapaswa kupeleka jeshi la kulinda amani haraka iwezekanavyo.

Suala la eti Rwanda inawafadhili wananchi ambao wanadai haki yao, hilo naona hata kulizungumzia ni kupoteza muda. Rwanda huwa haifanyi half-baked things. So, hizo propaganda zenu ambazo hazina kichwa wala miguu will remain that. PROPAGANDA.

Ila nakuhakikishia kuwa Nkurunziza mwisho wake hautakuwa salama. Watch this space.
 
Kwa jinsi warwanda mnavyoshupalia hii issue ya burundi kuna picha f'lan inanijia akilini mwangu!
 
Teh teh teh

This will be Ground Breaking,How can AU send troops to A country without Being Invited?

If AU want to protect Burundi From the so called up-coming Genocide,they should rather send Troop to Rwandan camps that Host Burundian refugees
Because that's where Military training intended to stimulate Genocide Are taking place right now

By the way,why Rwanda or Tutsi to be Exact Are so Viherehere on this Issue,Even though Rwanda herself will not Offer troops for such AU Mission?

This Issue has been super-Magnified,why Minor conflict Especially in Capital treated as precursor of Genocide?

Talks not Gun,this only peacefull solution.Burundi is our true Brother so We Must protect Him for Any cost
 
hao wakimbizi wanaomiminika kutoka burundi wangekuwa wanatoka rwanda na wewe ungekuwa unaishupalia rwanda sasa hivi. nashangaa wale wanafiki wote wanaolalamikaga eti wamechoka kuwahifadhi wakimbizi leo wako kimya. unafiki huwa haujifichi kwa muda mrefu. Leo hamjachoka kupokea wakimbizi kwa sababu wanatoka burundi.
 
Teh teh teh

This will be Ground Breaking,How can AU send troops to A country without Being Invited?

If AU want to protect Burundi From the so called up-coming Genocide,they should rather send Troop to Rwandan camps that Host Burundian refugees
Because that's where Military training intended to stimulate Genocide Are taking place right now

By the way,why Rwanda or Tutsi to be Exact Are so Viherehere on this Issue,Even though Rwanda herself will not Offer troops for such AU Mission?

This Issue has been super-Magnified,why Minor conflict Especially in Capital treated as precursor of Genocide?

Talks not Gun,this only peacefull solution.Burundi is our true Brother so We Must protect Him for Any cost

Huo ndio unafiki ninaosema....protect him from himself.

Rwanda has interest in Burundi because inapokea maelfu na maelfu ya wakimbizi wa burundi. Kama manayoyasema ni ukweli ina maana wakimbizi wanaokimbilia Tanzania watakuwa ni waasi wanaokimbia serikali ya Nkurunziza sio? na hao waasi ndio wale "wanaofadhiliwa" na kagame sio? halafu mnawapokea kwa mikono miwili...mmmh..
 
Piga nkuruzinza huyo, mtoeni nduki nkuruzinza kama vile shekhe aliekutwa anakula kitimoto kwenye mfungo wa ramadhani
 
Huo ndio unafiki ninaosema....protect him from himself.

Rwanda has interest in Burundi because inapokea maelfu na maelfu ya wakimbizi wa burundi. Kama manayoyasema ni ukweli ina maana wakimbizi wanaokimbilia Tanzania watakuwa ni waasi wanaokimbia serikali ya Nkurunziza sio? na hao waasi ndio wale "wanaofadhiliwa" na kagame sio? halafu mnawapokea kwa mikono miwili...mmmh..

Think Big Bro,there is Black Agenda behind the scene.TZ na Rwanda ipi inapokea wakimbizi wengi?
Hivi umeshawahi kujiuliza kwanini wakimbizi wengi wa kirundi wanaokimbilia Rwanda ni watutsi?

PAKA ndiye anayewafadhili Hao wahuni,Eti Freedom fighters?
kwasababu ni watutsi wenzake.Halafu usisadiki kila kitu unachokisikia kwenye Media
Hali ya Burundi ni tofauti na Hii wanayotuaminisha kina Mchambawima na wasaka-tonge wenzake
 
kwani hali ya Burundi ikoje? hebu tudanganye... mi naona mchawi yuko mbele yako! unahangaisha kichwa chako bure wakati mchawi ni NKURUNZIZA mwenyewe, ni yeye ndio kataka kuwazingua wenzake walioudhuria Arusha, sasa hivi kimenuka na kilichokinukisha kinajulikana kwanini msimkomalie Nkurumbi akubali yaishe... kumbuka kuna signature yake kule Arusha... jMali, vyuma
 
Last edited by a moderator:
Think Big Bro,there is Black Agenda behind the scene.TZ na Rwanda ipi inapokea wakimbizi wengi?
Hivi umeshawahi kujiuliza kwanini wakimbizi wengi wa kirundi wanaokimbilia Rwanda ni watutsi?

PAKA ndiye anayewafadhili Hao wahuni,Eti Freedom fighters?
kwasababu ni watutsi wenzake.Halafu usisadiki kila kitu unachokisikia kwenye Media
Hali ya Burundi ni tofauti na Hii wanayotuaminisha kina Mchambawima na wasaka-tonge wenzake

Na wanaokimbilia Tanzania? Nijibu hilo kabla sijaendelea
 
Mbona hapa Tz tunaua wezi kila siku lakini sijawahi sikia wanyarwanda wakisemaSema kwa nguvu namna hii

Shangaa na wewe mkuu! Fuatilia kwa makini, wanaoeneza kuwa Burundi kuna kimbari ni wanyarwanda tu tena wa kabila moja, kuna nini?
 
attachment.php
attachment.php
attachment.php

Kuna watu hapa (wanajijua wenyewe) walivyoona hizi picha wakajua kuwa propaganda zao ndio zinaishia ukingoni.

Things will never be the same.
 
Attachments

  • 1.jpg
    1.jpg
    4.6 KB · Views: 181
  • 2.jpg
    2.jpg
    3.3 KB · Views: 174
  • 3.jpg
    3.jpg
    3.4 KB · Views: 173
Kwa jinsi warwanda mnavyoshupalia hii issue ya burundi kuna picha f'lan inanijia akilini mwangu!

Na uipate hasa mkuu maana jana warundi wameandamana kupinga kupelekwa kwa jeshi la AU hata UN nao wamegoma jeshi lisipelekwe kule bila udhini ya serikali ya Burundi. Warundi wenyewe wanasisitiza hakuna vita wala tatizo Burundi lakini wanyarwanda wamekomaa kwelikweli kuwa kuna mauaji! Washangaeni sana wanyarwanda ndugu zanguni.
 
na hawa je hawahesabiki? sababu?
CW4nNMWWkAAIhv3.jpg

CW2cGYtWoAADzxR.jpg

CW2cGuyW4AEDpLk.jpg

CW2cHDMWIAcPn-W.jpg

CW2cHhBXAAAPRkh.jpg
 
Back
Top Bottom