Supplying vifaa vya plumbing na statitionery

gentlemanx

JF-Expert Member
Jun 21, 2015
2,375
7,216
habari zenu wana jf..

nina toa huduma ya kusupply vifaa vya bomba pamoja na stationery,kwa yeyote atakae hitaji ani PM
 
habari zenu wana jf..

nina toa huduma ya kusupply vifaa vya bomba pamoja na stationery,kwa yeyote atakae hitaji ani PM
Kwa nini ufanyie biashara gizani?

1. Weka mawasiliano yako hapa kila mtu aone.

2. Tuambie upo wapi?

3. Tuambie kama wa mikoani wakihitaji, watapataje? Gharama za kusafirishia ni za nani?

4. Tuwekee baadhi ya picha za vifaa vyako kama ni masinki, vyoo etc

5. Weka japo bei ya vitu viwili ama vitatu

Mambo ya ku-pm ya nini? Maduka yamejaa tele.
 
Back
Top Bottom