suppliers wanatafutwa

Joined
Dec 20, 2020
Posts
1
Reaction score
1
Habari zenu wadau

Ningependa kufanya biashara na suppliers ama uniconnect na suppliers ambao wanaweza kunisaidia. Nitashukuru sana.

Nilikuwa natafuta hizi bidhaa

1.Down view mirror

2.Power steering pump

3.Brake master valve

4.Cylinder support

5.flexible hose assembly

6.wiper assembly

7. Oval exhaust muffler assembly

Hizi ni za sinotruk



Tujuane na tujijenge.
 
Mkuu upo vizuri kwenye hiyo secta ya magari mim nilitaka kuagiza tairi used na mpya za magari na pikipik ila sina hata idea
 

Part number please
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…