Supplements za kupunguza mwili

cruz vuitton

Member
Sep 23, 2016
42
95
Umefanya mazoezi sana na umeshindwa kupata mwili unaotaka?
Sasa suluhisho limepatikana,sasa utapata supplements zitakazo weza kukusaidia kufika matarajio yako.
Zakujaza muscles pamoja na kukata mafuta kama unataka kupunguza mafuta na uzito wa mwili,kwa kutumia hizi supplements kila kitu kina wezekana
Zimetengenezwa kwa vyakula vilivyo changanuliwa kiwandani na vitakavyo muwezesha mtumiaji kufikia malengo yake.
Kwa mawasiliano zaidi 0672669309

[HASHTAG]#supplementssa[/HASHTAG] [HASHTAG]#leanmuscle[/HASHTAG]
[HASHTAG]#bodybuilding[/HASHTAG] [HASHTAG]#purewhey[/HASHTAG] [HASHTAG]#creatinesuprime[/HASHTAG] [HASHTAG]#massgainer[/HASHTAG]
[HASHTAG]#gymnastics[/HASHTAG] [HASHTAG]#supplements[/HASHTAG]
 
Papaa Kinyani

JF-Expert Member
Feb 25, 2013
1,469
2,000
Kupunguza mwili au kuongeza kunafanywa na vyakula tuu, hayo makemikali ni sumu tupu na wizi wa pesa za watu, mtu pangilia mlo wako na fanya mazoezi utapata tuu mwili na uzito sahihi kwa urefu wako, achana na kemikali hizo, oooo mara from USA, mara South Africa, mbwembwe tuu
 
Don255

JF-Expert Member
May 30, 2012
1,069

naona unaitamani segerea
 
mkuu njia pekee ya kuongeza au kupunguza mwili ni mazoez pamoja na vyakula(virutubisho asilia kama ulivosema)...haya madawa ya makopo unaeza kufa kimasikhara masikhara tuu....mtu anakuambia utapunguza kilo 20 kwa mwezi.....hata Moyo unaushtukiza kwa kushuka uzito ghafla....
 
cruz vuitton

Member
Sep 23, 2016
42
95
mkuu njia pekee ya kuongeza au kupunguza mwili ni mazoez pamoja na vyakula(virutubisho asilia kama ulivosema)...haya madawa ya makopo unaeza kufa kimasikhara masikhara tuu....mtu anakuambia utapunguza kilo 20 kwa mwezi.....hata Moyo unaushtukiza kwa kushuka uzito ghafla....
Amna hio sio njia pekee kwa sababu zikagundulika hizi supplements
 
Don255

JF-Expert Member
May 30, 2012
1,069
2,000
Amna hio sio njia pekee kwa sababu zikagundulika hizi supplements
we si mfanyabiashara....si kukatalii kwamba kuna watu wanatumia hizo....ila kiafya c nzuri...kwa sababu hizo zinaenda kuleta effect kwenye homoni husika....na wateja wengi wa hizo kitu ni kina mama(tunaziona picha zao za before and after)...na hii ni kutokana hawapend mazoez machipsi wanayapenda....umodo wanaupenda
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom