Manala An Academician
Senior Member
- Oct 10, 2016
- 119
- 57
Sifa
Uwezo wa kuongoza taasisi yenye matawi yake
Lugha nzuri sana na uwezo wa kujieleza
Mwaminifu sana na aliyetayari kufanya kazi bila usimamizi na kwakujitoa
Uwezo wa kutumia computer na uelewa wa kuandaa report za utendaji
Awe na jinsia ya kike mwenye ujasiri, ari, uwezo na utayari wa kufanya kazi
Elimu si kigezo muhimu bali uwezo wa kufanya kazi yenye matokeo
Mshahara unaanzia kati ya 250,000 inaweza kubadilika kutokana na utendaji kazi
Posho kwaajili ya mawasiliano na nauli itatolewa kwa- wiki
Kituo cha kazi ni Dar Es Salaam, Mabibo na Tegeta
Mwisho wa maombi ni 15/02/2021 saa 10:00jioni
Tuma cv yako kwa- whatsapp namba au piga kwa- namba : 0765374146