Hivi mtu yeyote maarufu hasa mwanamuziki anaweza kumudu kubaki njia kuu,
Kuna njemba moja mtaani inanisumbua kweli eti inamapenzi na mimi,Nimeingiwa na wasiswasi hawa na wale wale wa "Hit en Run"
Madai yake ni kwamba hana mpenzi,ila najua fika nia yake ni Kula.mzigo na kusepa,
Sasa.nataka kujuzwa hawa jamaa wana njia kuu kweli??
Mie sina njia kuu bado niko mawindoni,
Nilisugua goti kwa Mungu anipe wa kwangu ila huyu niliyepewa hapana
Basi hujafunuliwa bado u need to pray more tian,Muomba Mungu hachoki na akichoka shetani anamnyemelea
Sent from my iPhone using JamiiForums
We tian si nilikuwa nakufatilia kwa nyuma siku moja unaniambia "mkuu me napita njia kuu tu" ukanisihi bora kurudi nilikotokea kuliko kuendelea kukuvizia uchochoroni...
Leo inakuwaje unaanza kuhoji hayo au ndo unataka kujitosa??
Wewe nilikuwa nakupiga chenga kwakuwa unamchumba wako wa anaye kutabiria kwa ndoto,
Mie Sijapata Njia Kuu,
Na sina tabia ya kuchepuka kabisa kwa kuwa kujiheshimu ni jambo zuri sana