Hivi mtu yeyote maarufu hasa mwanamuziki anaweza kumudu kubaki njia kuu,
Kuna njemba moja mtaani inanisumbua kweli eti inamapenzi na mimi,Nimeingiwa na wasiswasi hawa na wale wale wa "Hit en Run"
Madai yake ni kwamba hana mpenzi,ila najua fika nia yake ni Kula.mzigo na kusepa,
Sasa.nataka kujuzwa hawa jamaa wana njia kuu kweli??

Mimi nasearch,
Ila huyu aloniangukia hapana kwa kweli
....Hana mpenzi? Fanya upelelezi, mwanamke akitaka kitu hashindwi, tatizo leno mnaamini na ku initiate game within a day.
..Kuwa kicheche au kutokuwa ni tabia, japo wamati mwingine hao masuperstars wanakumbwa na vishawishi vingi kutokana na mazingira ya kazi zao.
..Nikutakie kila la heri, umeona kale kamdoli hakafikii nature eeeh!!