Super utalaamu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Super utalaamu

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by wiseboy, Jul 11, 2011.

 1. wiseboy

  wiseboy JF-Expert Member

  #1
  Jul 11, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 2,713
  Likes Received: 1,893
  Trophy Points: 280
  hi jf thinkers, jamani kuna m2 namjua hapa jirani yatu anatumia ttcl dek mobile ku accses internet free of charge yapata mwaka sasa, utalaamu huu ulifanywa na baadhi ya vijana toka dar ambao kwa sasa hawapatikani, je hamana mtu anayeweza kuleta concept ya kuchakachua modem zisisome salio,
  nawasilisha pls
   
 2. bwax

  bwax Member

  #2
  Jul 11, 2011
  Joined: May 22, 2009
  Messages: 37
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 15
  it's possible but against the law. it is better ukichakachua mwenyewe kuliko kuuliza ushauri huo hapa, maana kama tukikupatia hiyo means that means tunasupport uhalifu. In short huo ni wizi.

  Sorry buddy.
   
 3. Osaba

  Osaba JF-Expert Member

  #3
  Jul 11, 2011
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 1,725
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  wewe unaonekana ni mgeni kwenye hili jukwaa hivi **** mtu yoyote hajui baya na zuri kweli?
   
 4. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #4
  Jul 11, 2011
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,123
  Likes Received: 619
  Trophy Points: 280
  Modem haisomi salio kama unavyofikiri, salio linakuwa managed na enforced upande wa server za TTCL kama ni kweli wanapata bure inatokana na makosa kwenye mitambo ya TTCL sio uchakachuaji wa modem.
   
 5. bwax

  bwax Member

  #5
  Jul 11, 2011
  Joined: May 22, 2009
  Messages: 37
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 15
  najua ni upande wa server, sasa kwani hizo server hazifikiki?
   
 6. bwax

  bwax Member

  #6
  Jul 11, 2011
  Joined: May 22, 2009
  Messages: 37
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 15
  @omary salum: ingawa mimi sio mgeni but nimekuwa silent observer for almost three years now. Kwa kukujibu tu, ugeni wa hii forum haimaanishi haujui zuri au baya. Ilikuwa ni ushauri tu kulingana na kanuni zisemavyo. Na kama anajua hili ni baya na jf hairuhusu kwenye rule #3 ibara ya 3, 4 na 5 then kwanini kauliza?
   
 7. P

  Paul S.S Verified User

  #7
  Jul 12, 2011
  Joined: Aug 27, 2009
  Messages: 5,933
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  In short jukwaa hili halikufai mkuu, nenda majukwaa mengine kama la siasa huko kunalongolongo kama hizo zako za ku qoute na vifungu vya sheria
   
 8. Gezus

  Gezus Member

  #8
  Jul 12, 2011
  Joined: Mar 6, 2009
  Messages: 99
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  mwaga mbinu at the bottom malizia na hizo quote zako za sheria.

  that will keep u off trouble.

  for all i know is it takes 2 to do such a job, an inside man who can cover up for you when they do their routine check ups, otherwise, you will be caught in the first 2months of abnormality usage of their bandwidth...
   
 9. AlP0L0

  AlP0L0 JF-Expert Member

  #9
  Jul 12, 2011
  Joined: Apr 23, 2011
  Messages: 3,479
  Likes Received: 762
  Trophy Points: 280
  Mkuu endelea kukaa kimya, au nenda jukwaa la sheria huku hakukufai.
   
 10. chrisman49

  chrisman49 JF-Expert Member

  #10
  Jul 17, 2011
  Joined: Jun 20, 2011
  Messages: 713
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Embu jaribun kuwa wised!ww kama haulewi jinsi ya kumsaidia mchizi kaa kimya!hauna pointi co unaanza kutuchanganyia habari!!embu huko!
   
 11. Osaba

  Osaba JF-Expert Member

  #11
  Jul 17, 2011
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 1,725
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Na wewe umetokea wapi tena kama wewe unaweza msaidie basi.
   
 12. pisces

  pisces JF-Expert Member

  #12
  Jul 18, 2011
  Joined: Dec 20, 2010
  Messages: 225
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  kumbe mgeni unatakiwa kukaa kimya.... Mh! Sasa si ndo utakua mgeni daima..... Halafu nimegundua jf kuna vita ya wageni na wenyeji.... Acheni kwere bana
   
 13. Criss

  Criss JF-Expert Member

  #13
  Jul 18, 2011
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 825
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Mkuu hii jf bhana hatunyimani maujuzi kikubwa makinika tu jombaa.......anyway mi nimeokota modem ya TTCL kimbembe nilivyoenda kuinunulia line wakaniambia niwape serial no_ya ile modem duh nikahofu jombaa vp inaweza kua na madhara yoyote nikiwatajia wakuu?
   
 14. Given Edward

  Given Edward Verified User

  #14
  Jul 18, 2011
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 862
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Here is the thing: hata kama kuna mtaalamu humu wa TTCL modems asimwage ujuzi hapa. Aweke post kwamba he can do it, then PM kwa sababu hata wafanyakazi wa TTCL wanaweza wakawemo humu. We unadhani kwanini uchakachuaji wa modems na decoders haudumu siku hizi? Wanasoma tricks zenu humu halafu wanaenda kuziba loop holes zao. Ubaya ni kwamba hata wao nao wanaweza kukuPM. Just find an easier way to exchange skills lakini sio kupost kwenye open thread.
   
 15. bwax

  bwax Member

  #15
  Jul 28, 2011
  Joined: May 22, 2009
  Messages: 37
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 15
  Well said Givenality,
  Sijui kwanini watu hawakusoma between the lines wakati natoa comment hapo juu. Badala yao wakadhani mie mgeni wakati sio. Siku zote workaround za loopholes hazifai kutoa hadharani kichwa kichwa kama hapa TTCL najua wapo humu. Utajuaje aliyeuliza swali sio mtu wa TTCL?
   
Loading...