Mambo vp wazee wenzangu!mimi kwa mtazamo wangu hapa bongo naona tuna masuper staa watatu tu,nao ni AY,HASHEEM THABEET,P.FUNKY AKA MAJAN.coz hawa jamaa wamefanikiwa sana kufanya mambo flan tofaut tofaut na kuteka au kutu represent fresh, tukianza na hasheem hope anajulikana kwa kupiga kikapu mpaka anacheza pale Nba,then Ay ni mwanamuzik aliyehustle na bado anakomaa kupenyeza muzik wake nje ya tz mfano juz kati kapiga colabo na wasanii wa huko wa marekan,then ashatusua kora,chanel o.then p.funk ameleta mapinduz makubwa kwenye muzik na kufanywa upendwe ndan na nje ya tz,respect to them.nawasilisha huu ni mtazamo wangu!

Msaada wa kueleweshwa plzzzzzz!

Hivi superstar ni lazima awe kwenye fani ya burudani na michezo tu?????

Si ndo hapo sasa.. Because kuna watu kama betty mkwasa aliwahi shinda african journalist award, Asha rose migiro aliefika mpaka UN, apart from that hata katika burudani there are people who have gone further than that.. Ali kiba's collabo with kina r.kelly n etc, jaydee nae, Mr. Sugu n so much more!
Lady Jay Dee ndio most succesfull artist in Tanzania
AY Zaman saiz kachoka hata haeleweki magumashi 2 yamemjaa.
Mambo vp wazee wenzangu!mimi kwa mtazamo wangu hapa bongo naona tuna masuper staa watatu tu,nao ni AY,HASHEEM THABEET,P.FUNKY AKA MAJAN.coz hawa jamaa wamefanikiwa sana kufanya mambo flan tofaut tofaut na kuteka au kutu represent fresh, tukianza na hasheem hope anajulikana kwa kupiga kikapu mpaka anacheza pale Nba,then Ay ni mwanamuzik aliyehustle na bado anakomaa kupenyeza muzik wake nje ya tz mfano juz kati kapiga colabo na wasanii wa huko wa marekan,then ashatusua kora,chanel o.then p.funk ameleta mapinduz makubwa kwenye muzik na kufanywa upendwe ndan na nje ya tz,respect to them.nawasilisha huu ni mtazamo wangu!

afu hiyo nyimbo aliyotoa na lil romeo bora hata angetafuta collabo na east africana wenzetu ama wanaijeria. ni mbaya ajabu lakini utashangaa itakavo pewa airtime coz jamaa ni mtu wa mjini...kama ni collabo ziwe na akili basi tizama mr endowed ya d'banj na snoop kweli ni hit ya kiafrika
kwanini supastar asiendeshe gari la Toyota?Hakuna Super star hata m1 kati ya uliowataja!!!!! Superstar gani anakula kwa mama ntilie? Super star gani anaendesha gari la Toyota? Super star gani akitembea mfukoni hana zaidi ya elfu 15?(Hasheem ashawahi kumsaidia adam mchomvu pale mlimani alimpa elfu 15 tu wakati adamu alikuwa anadaiwa zaidi ya hiyo hahahaha),super star gani hana hata nyumba ya kukaaa? yes namaanisha nyumba na si banda? wote hao ni waganga njaa tu!!! SUperstar gani ana bishara ya daladala??(AY ana daladala mbili hahahahaha) WOTE NI WAGANGA NJAAAA TUUUU..
Mkuu kama unazungumzia pesa nadhani utakuwa hujamtendea haki Hasheem Thabeet maana hakuna mwananmichezo au mwanamuziki yeyote katika Africa mashariki na kati ayemzidi kwa fedha anazopata. Mshahara wake kwa mwaka ni karibia Tsh billioni 6 (around dola za kimarekani million 4.5) kwa mwakaAngalia link hii hapa chini inayoonyesha wanamichezo wanaolipwa zaidi kwa kila nchi:ESPN The Magazine - The Money Issue - The best-paid athletes from 182 countries - ESPNHakuna Super star hata m1 kati ya uliowataja!!!!! Superstar gani anakula kwa mama ntilie? Super star gani anaendesha gari la Toyota? Super star gani akitembea mfukoni hana zaidi ya elfu 15?(Hasheem ashawahi kumsaidia adam mchomvu pale mlimani alimpa elfu 15 tu wakati adamu alikuwa anadaiwa zaidi ya hiyo hahahaha),super star gani hana hata nyumba ya kukaaa? yes namaanisha nyumba na si banda? wote hao ni waganga njaa tu!!! SUperstar gani ana bishara ya daladala??(AY ana daladala mbili hahahahaha) WOTE NI WAGANGA NJAAAA TUUUU..
Mkuu kama unazungumzia pesa nadhani utakuwa hujamtendea haki Hasheem Thabeet wa Houston Rockets maana hakuna mwananmichezo au mwanamuziki yeyote katika Africa mashariki na kati ayemzidi kwa fedha anazopata. Mshahara wake kwa mwaka ni karibia Tsh billioni 6 (zaidi ya dola za kimarekani million 4.7) kwa mwakaAngalia link hii hapa chini inayoonyesha wanamichezo wanaolipwa zaidi kwa kila nchi:ESPN The Magazine - The Money Issue - The best-paid athletes from 182 countries - ESPNHakuna Super star hata m1 kati ya uliowataja!!!!! Superstar gani anakula kwa mama ntilie? Super star gani anaendesha gari la Toyota? Super star gani akitembea mfukoni hana zaidi ya elfu 15?(Hasheem ashawahi kumsaidia adam mchomvu pale mlimani alimpa elfu 15 tu wakati adamu alikuwa anadaiwa zaidi ya hiyo hahahaha),super star gani hana hata nyumba ya kukaaa? yes namaanisha nyumba na si banda? wote hao ni waganga njaa tu!!! SUperstar gani ana bishara ya daladala??(AY ana daladala mbili hahahahaha) WOTE NI WAGANGA NJAAAA TUUUU..
Hakuna Super star hata m1 kati ya uliowataja!!!!! Superstar gani anakula kwa mama ntilie? Super star gani anaendesha gari la Toyota? Super star gani akitembea mfukoni hana zaidi ya elfu 15?(Hasheem ashawahi kumsaidia adam mchomvu pale mlimani alimpa elfu 15 tu wakati adamu alikuwa anadaiwa zaidi ya hiyo hahahaha),super star gani hana hata nyumba ya kukaaa? yes namaanisha nyumba na si banda? wote hao ni waganga njaa tu!!! SUperstar gani ana bishara ya daladala??(AY ana daladala mbili hahahahaha) WOTE NI WAGANGA NJAAAA TUUUU..
Mkuu kama unazungumzia pesa nadhani utakuwa hujamtendea haki Hasheem Thabeet wa Houston Rockets maana hakuna mwananmichezo au mwanamuziki yeyote katika Africa mashariki na kati anaye-mzidi kwa fedha anazopata. Mshahara wake kwa mwaka ni karibia Tsh billioni 6 (zaidi ya dola za kimarekani million 4.7) kwa mwakaAngalia link hii hapa chini inayoonyesha wanamichezo wanaolipwa zaidi kwa kila nchi:ESPN The Magazine - The Money Issue - The best-paid athletes from 182 countries - ESPNHakuna Super star hata m1 kati ya uliowataja!!!!! Superstar gani anakula kwa mama ntilie? Super star gani anaendesha gari la Toyota? Super star gani akitembea mfukoni hana zaidi ya elfu 15?(Hasheem ashawahi kumsaidia adam mchomvu pale mlimani alimpa elfu 15 tu wakati adamu alikuwa anadaiwa zaidi ya hiyo hahahaha),super star gani hana hata nyumba ya kukaaa? yes namaanisha nyumba na si banda? wote hao ni waganga njaa tu!!! SUperstar gani ana bishara ya daladala??(AY ana daladala mbili hahahahaha) WOTE NI WAGANGA NJAAAA TUUUU..