Wenger alienda kuwapelekea shuhuda za mnyamaWalipoona vibe la Simba kwenye uzinduzi wakapata motivation ya kufufua upya kesi.
Simba ni role model wa kila kitu kinachohusu mpira kwenye hii sayari (haters watabisha)
Wenger mpaka leo anajua Tanzania timu ipo mojaWenger alienda kuwapelekea shuhuda za mnyama
Kuna timu nimeskia imeshinda jana, au ni kikundi cha bahati tu mtaani?Wenger mpaka leo anajua Tanzania timu ipo moja
Jana hakuna mechi imechezwa ila jana kwa Mkapa nilisikia kuna umitashuntaKuna timu nimeskia imeshinda jana, au ni kikundi cha bahati tu mtaani?
Kutazama mechi bure mmmh wanawavutia kina kirefu hapaBREAKING NEWS Mahakama ya Ulaya imeamua kuwa UEFA na FIFA zilichukua hatua kinyume na sheria ya mashindano kwa kuzuia kuanzishwa kwa Super League mwaka 2021 na sasa ni Halali kuanzishwa.
......Mkurugenzi mtendaji wa Super League Bernd Reicart amethibitisha hatua hiyo na kusisitiza sasa mashindano ya Super League ni Halali na hakuna tena Zuio kutoka FIFA Wala UEFA Ni Uamuzi sasa wa Vilabu kuamua hatima yao hakuna tishio lolote.
......Vilabu husuka vya mashindano hayo vitashiriki bure na Mapato watapewa bila shida pia Super League imewahakikishia mashabiki wa timu hizo watatazama mechi zao bure pasina kutoa kiingilio
Source Super League.
Angalia asijejikuta yeye na barca tu kwenye iyo ligi halafu izo timu nyingine zikajazana akina westham huko
Sijui kama anajua wiki moja baada ya uzinduzi hiyo timu ilipigwa 5. Mpelekeeni hizi taarifa.Wenger alienda kuwapelekea shuhuda za mnyama
Unagongwa sio bureWalipoona vibe la Simba kwenye uzinduzi wakapata motivation ya kufufua upya kesi.
Simba ni role model wa kila kitu kinachohusu mpira kwenye hii sayari (haters watabisha)
🤣🤣 kenge kabisaJana hakuna mechi imechezwa ila jana kwa Mkapa nilisikia kuna umitashunta
Utoto raha sana hasa pale Vipofu wakiongozana njia 1 na kujiona wako mjini kumbe shambani...Wenger mpaka leo anajua Tanzania timu ipo moja
Lile Rais lilimfanyia figisu CR 7 hadi alikosa balloon d'o kwa kuondoka Bernabeu kwa kiburi hadi alipewa L. Modrick.