Super beach

Super beach

englibertm

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2009
Posts
9,252
Reaction score
6,209
BdYPSEvCMAAcuZw.jpg:large
 
Hata kwa viboko siogelei mimi hiyo beach,maana sipati picha huo mjiwe siku umeporomoka
 
Pamejiweka fresh utafikiri majukwaa ya viwanja vya mpira.
 
Hata kwa viboko siogelei mimi hiyo beach,maana sipati picha huo mjiwe siku umeporomoka

si ajabu watu wa hapo wanaamini ukioga humo unafanikiwa na kutatua matatizo kama yanakusumbua..
 
Mkuu, ungetoa na maelezo(Maybe names, location etc) kidogo tu kuhusu hizi sehemu ungeelimisha wengi sana. Pictures zako zinakubalika!
Kuna tofauti kati ya kamera za kuweka filamu, na kamera dijitali
Dijitali - Kabla ya kuikubali picha yako unaithaminisha kwanza
Filamu - Mkanda unazunguka haijali pozi kama lilikuwa sawa, au lilikataa. Kinachofuata imekula kwako
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom