SUPA PESA ni aina nyingine ya wizi za WADANGANYIKA? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

SUPA PESA ni aina nyingine ya wizi za WADANGANYIKA?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Lucchese DeCavalcante, Sep 21, 2010.

 1. Lucchese DeCavalcante

  Lucchese DeCavalcante JF-Expert Member

  #1
  Sep 21, 2010
  Joined: Jan 10, 2009
  Messages: 5,473
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  [​IMG]

  Msemaji wa kampuni ya Frontline inayoendesha mchezo wa SUPA PESA, Nancy Sumari (kulia) akiongea na wanahabari wakati wa uzinduzi wa Bahati Nasibu mpya ya SUPA PESA iliyozinduliwa leo Jumatatu katika Hoteli ya Sea Cliff jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Mkurugenzi wa Bahati Nasibu hiyo, Harm Fourie.

  KAMPUNI mpya ya SUPA PESA leo imezindua Bahati Nasibu mpya iitwayo Supa PESA ambayo watumiaji wa mitandao ya Tigo, Zantel, Vodacom na Zain watatakiwa kutuma neno SUPA kwenda 155777 ambapo mshindi wa wiki atajinyakulia kitita cha shilingi milioni kumi (10,000,000/=). Kila Ujumbe utatozwa shilingi mia tano (500).


  [​IMG]


  Mwandishi wa Kampuni ya Global Publishers, Issa Mnally (kulia) akikabidhiwa shilingi laki moja (100,000/=) na Mkurugenzi wa SUPA PESA, baada ya kujishindia kwenye droo ndogo iliyochezeshwa kwenye uzinduzi huo.  HIZI BAHATI NASIBU MIE NAONA NI WIZI MTUPU KAMA ILE YA VODACOM SHINDA MKOKO NYIE MWASEMAJE?
   
 2. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #2
  Sep 21, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Mfunyukuzi you cant go wrong, huu ni wizi mtupu na bahati nasibu za kupanga matokeo mimi naishaishia kuangalia tu hiyo 500 bora nimpigie simu mama yangu nyumbani nimjulie hali yake
   
Loading...