Supa Ghee

Nakumbuka mama yangu na super ghee. Sasa ukute tin opener haionekani, zoezi la kufungua kwa kisu, wacha maneno yake
 
nimeimiss sana hii kitu enzi hizo mpaka ukaoge kwanza ndo dingi linakupa ruksa ya japo kutia kakidole tu ndani
 
Nashangaa swali mkuu. Je tukijikumbusha Tanganyika Packers si itakuwa tabu mkuu.

Thanks mkuu, but tatizo hapa nauliza ilikuwa ni product ya nini? Though imekaa kama Mafuta ya Kimbo:lol:
 
Dah, Mbuzi mzee kwasasa ndiye unayeleta picha zinazovuta hisia tofauti tofauti na zinazovutia zaidi, Big up mkuu.
 
huku kwetu kuna magari tunayaita 'selela' lazima ataikimbia hiyo laptop
 
safi sana. mara ya kwanza nmeiona kwa babu asprin. mia
 
inaezekana jamaa katimuliwa hela ya kodi ya kulipia chumba hana na baba mwenye nyumba
 
ha ha ha ha haaa nimecheka sana ....huyu atakuwa bazazi..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…