Sungura wanauzwa

Boflo

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2010
Posts
4,383
Reaction score
4,412
each 10,000/=
Wako Dar - Upanga
Serious buyer ni pm
 
Boflo,
Hawa Sungura Wana uzito gani?
Wana umri gani?
Je nikihitaji huduma ya kuchinjiwa, ipo?
 
Du elfu kumi? Njoo kijijini kwetu elfu 3 tu inapata makubwa kabisa then kauze dar upate elfu7 yako each
 
Matumizi ya sungura ni yapi.??? Kufugwa tu au
 
Boflo,
Hawa Sungura Wana uzito gani?
Wana umri gani?
Je nikihitaji huduma ya kuchinjiwa, ipo?

uzito kisia mwenyewe kwenye picha
huduma ya kuchinjiwa sitoi kabisa
umri nitajuaje kwani mm nimmewazaa?
sungura mmoja kama huyo kisutu sokoni anauzwa 20,000/=
 
Kama kuna waarabu hapa jamvini mate yawatoka mwaa,kumpenda kula nyama ya sungura bana
 
uzito kisia mwenyewe kwenye picha
huduma ya kuchinjiwa sitoi kabisa
umri nitajuaje kwani mm nimmewazaa?
sungura mmoja kama huyo kisutu sokoni anauzwa 20,000/=

Duh!!?
 
Sasa si uanze kuzaa sungura wako? Yaani wewe boflo! Mamako asingekuzaa angekufa na kansa wallah!
uzito kisia mwenyewe kwenye picha
huduma ya kuchinjiwa sitoi kabisa
umri nitajuaje kwani mm nimmewazaa?
sungura mmoja kama huyo kisutu sokoni anauzwa 20,000/=
 
uzito kisia mwenyewe kwenye picha
huduma ya kuchinjiwa sitoi kabisa
umri nitajuaje kwani mm nimmewazaa?
sungura mmoja kama huyo kisutu sokoni anauzwa 20,000/=

Dah..! hapo TANMO lazima ukae..
 
Last edited by a moderator:
Du elfu kumi? Njoo kijijini kwetu elfu 3 tu inapata makubwa kabisa then kauze dar upate elfu7 yako each
Mkuu mbona unataka kuhalibu biashara ya Boflo?
 
Last edited by a moderator:
Mi nauza buku 5 kwa rejareja na kwa jumla buku 3 kuanzia pc10 nipo mbeya uyole
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…