laana ni laana tu ndugu yangu hakuna cha KABAAAANG*#?" wala niniKula KABANG' ndiyo laana kuu kuliko zote.
Asante sana....let me install in my life
laana ni laana tu ndugu yangu hakuna cha KABAAAANG*#?" wala nini
Na alaaniwe mtu aifanyae sanamu ya kuchongo ... Kumbukumbu la torati 27:14
kumdharau baba na mama yako kumb. 27:16
kusogeza mipaka ya mashamba Kumb 27:17 (Hii ndugu zagu wa meru, machame,kibosho,oldmosh, marangu mpaka rombo inawahusu)
usipomwongoza kipofu kwenye njia sahihi Kumb.7:18
Mahakimu wanaopotosha hukumu kwa kufwata Ruswa haswa kwa wajane na yatima Kumb 27:19
Kumalala mamayo kumb 27:20
ku do na wanyama hii kwa wazungu siku hizi wanapenda sana kutoka mbwa kumb:21
kulala na dada yako kumb:22
kulala na mkweo kumb 27:23
tupe na mstari wa kusismamia tafadhali
Hahahahahahahaha
minataka ya kutamani mke wa jirani yako
cc vindisiel
Amtamanie mke wa jirani yake amezini.
Copy" Vin Diesel
Sasa mbona hujaweka kifungu kutoka kwenye bible au msahafu?
Cc kitalolo
aisee! yaan ndio kwanza najua leo mi nikazani we ME,dah! marejesho mwaaaaa
Asante kwa kwa taarifa. samahani lakini ina maana una mabwana wawili au hata huyu Filipo sio mumeo?
Maana ya jina ni sawa na nimeandika hivyo kuondoa utata maana linaweza kutumiwa na jinsi zote Me/Ke