Alter, pamoja na kua kila individual ana tabia yake, ni muhimu kujua kabila fulani lina miko gani, mila gani etc. There is a correlation between tabia ya mtu na environment yake (
l'homme et son milieu) and therefore sioni ubaya watu kujadili makabila. Unaweza kusoma hii
comment yangu hapa
Kinacho sikitisha however are the insulting comments that some of our members post in response to questions raised. Ningeomba tusaidiane kwa kureport hizo post ili zifutwe mara moja na mjadala uendelee.